Home »
» JUMA KASSAM KATIKA VIDEO YA WIMBO WA KARATE
JUMA KASSAM KATIKA VIDEO YA WIMBO WA KARATE
Written By Bashir Nkoromo on Wednesday, January 2, 2013 | 5:08 AM
Mwanamuziki chipukizi lakini mkongwe kwa umri Juma Kassam, ambaye pamoja na Muziki pia ni muigizaji na mwanamichezo hususani mchezo wakujihami Karate. Usikilize wimbo wake unaojulikana kwa jina la "KARATE" futurering Juma Jazz uone alivyokuja na muelekeo mpya zaidi ya vile tulivyozoea ya nyimbo zenye ujumbe wa mapenzi: BOFYA HAPA
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !