Bendi maarufu ya muziki wa dansi " Ngoma Africa Band" aka FFU yenye makao yake nchini Ujerumani,
Inawatakieni wadau wote popote pale mlipo " kila la heri na fanaka " katika sikukuu ya msimu
wa Pasaka. bendi yenu "Ngoma Africa" inawambea amani na baraka.
Pia msikose kupata burudani kamili ya Pasaka kwa kusikiliza nyimbo aka (Virungu vya FFU) at http://www.ngoma-africa.com au www.ngoma-africa.com
mawasiliano at contact@ngoma-africa.com.
FFU wakiwa kwenye moja ya maonyesho yao ya 'live' nchini Ujerumani
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !