Headlines News :
Home » » MDAU: ZILE PROMOSHENI MOTOMOTO KAMA ZA KINA BISHANGA ZI WAPI SIKU HIZI?

MDAU: ZILE PROMOSHENI MOTOMOTO KAMA ZA KINA BISHANGA ZI WAPI SIKU HIZI?

Written By Bashir Nkoromo on Sunday, July 28, 2013 | 1:43 PM

Serikali  inahimiza  mashirika makampuni  wafanyabiashara  kutumia  wasanii wa nyumbani  katika  matangazo  na  promtion  mbalimbali          Pichani  anaonekana  msanii wa  kucheza  na  Nyoka  mama Salima  Moshi ( mama  nyoka)  akiwa  Promoter enzi  hizo  wa Kampuni  ya  Bia Tanzania   Akitangaza   vinywaji  vinavyozalishwa  na  TBL zikiwemo   Kilimanjaro  Ndovu    Bingwa na nyingine  nyingi  akiwa  amevaa  fulana  ya  Ndovu  ya TBL  akishirikiana  na  Wasanii  maarufu  Nchini  kwenye   Promotion  hiyo  ya  TBL   enzi  hizo   akina  Bishanga Bishaija, Rich  Rich   Waridi  kutoka kundi la mambo hayo wengine  ni ZIpompapompa, Majengo, Pangu Pakavu     Mama Shunda  Mzee Pembe, Mzee Sumaku    Wanne Star  na  kundi  lake   je? sasa  hivi  Promotion   kama  hizi  zimeishia  wapi ?    Na  je   kama zinafanyika  wasanii wanalipwa inavyostaili?

Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template