Headlines News :
Home » » MECHI YA WABUNGE WA YANGA NA SIMBA KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI

MECHI YA WABUNGE WA YANGA NA SIMBA KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI

Written By Bashir Nkoromo on Monday, July 8, 2013 | 12:32 AM

Rais Kikwete akielekea kukagua timu.
Rais Kikwete akisaini mpira utakaotumika.
...Akiwakagua Yanga.
..Akiwakagua Simba.
Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Eric Shigongo, Waziri Fenella Mukangara, marefarii na manahodha wa Simba na Yanga.
Vikosi vya Simba na Yanga.
JK akipuliza kipenga.
Mtanange ukiendelea.
Score board ilisomeka hivi.
Mashabiki.
Share this article :

1 comment:

  1. Inapendeza Wawakilishi wa wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya nchi na vyama tofautitofauti vya siasa kuwa pamoja katika burudani, mgeni rasmi akiwa mkuu wa nchi na mwenyekiti wa chama kimojawapo kati ya vyama vingi vya siasa tulivyonavyo hapa nchini.

    Tunapata matumaini kuwa kule tulikokuwa tunataka kupelekwa tunaweza kughaili tukakomea njiani na kurudi kwenye Tanzania yetu Salama kama tulivyoachiwa na Waasisi wa Taifa letu.

    Namaaisisha Taifa lenye Umoja, Mshikamano, Muungano, Amani na Utulivu vitu ambavyo tukividumisha tutendelea kupiga hatua moja baada ya nyingine kuyafikia maisha na maendeleo yunayoyatarajia.

    MUNGU IBARIKI TANZANIA

    ReplyDelete

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template