Headlines News :
Home » » AZAM YALALA KWA YANGA BAO 1-0 PAMBANO LA NGAO YA JAMII

AZAM YALALA KWA YANGA BAO 1-0 PAMBANO LA NGAO YA JAMII

Written By Bashir Nkoromo on Sunday, August 18, 2013 | 1:22 AM

 Hivi ndivyo bao la pekee ambalo Azam ailifungwa na Yanga katika dakika za mwanzoni kabisa timu hizo zilizopmenyana katika mechi ya ngao ya Jamii kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Bao hilo lilifungwa na Salum Telela
 Salum Telela akishangilia baada ya Yanga kupata bao hilo
 David Luhende wa Yanga (kulia) akimtoka Erasto Nyoni wa Azam
 Didier Kavumbagu wa yanga akimtoka Erasto Nyoni wa Azam
 Kocha wa Azam akitazama saa yake wakati muda ukiyoyoma huku timu yake ikiwa bado imeshindiliwa bao moja na Yanga
 Kikosi cha Yanga kilichocheza na Azam
 Kikosi cha Azam kilichochapwa na Yanga
 Utani wa mashabiki wa Yanga waliokuwa uwanjani
Line-Up zilikuwa hizi
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template