Headlines News :
Home » » MTEMVU ANOGESHA MASHINDANO YA SOKA SERIKALI ZA MITAA TEMEKE

MTEMVU ANOGESHA MASHINDANO YA SOKA SERIKALI ZA MITAA TEMEKE

Written By Bashir Nkoromo on Sunday, February 9, 2014 | 4:05 AM


Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kulia) akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Jamaica ya Mtaa wa Keko Molemo, Paulo Peter zawadi ya sh. 300,000 baada ya kuifunga timu ya DotmondMtaa wa Jamaica  ya Mtaa wa Keko Magurumbasi katika mechi ya kuchagua wachezaji wa kuunda timu ya kombaini ya Kata ya Keko jana kwenye Uwanja wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Kitivo cha Elimu (DUCE), Chang,ombe Dar es Salaam . Jamaica lishinda mabao 3-1. Pia timu ya Dotmond ilizawadiwa sh. 200,000.

Abbas Mtemvu  akimkabidhi Nahodha wa timu ya Dotmond ya Maa wa Keko Magurumbasi zawadi ya sh. 200,000 baada ya kuwa washndi wa pili katika mchezo huo.
Bakari Hemed wa timu ya Dotmond akka mca Mbegu 
Wapenzi wa soka wakiangalia mechi hiyo. PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template