Headlines News :
Home » » YANGA ILIVYOIVURUGA RUVU SHOOTING SABA BILA (7-0) JUMAMOSI HII

YANGA ILIVYOIVURUGA RUVU SHOOTING SABA BILA (7-0) JUMAMOSI HII

Written By Bashir Nkoromo on Sunday, February 23, 2014 | 12:25 AM

 Mchezaji wa Yanga, Juma abdul akimtoka beki wa Ruvu Shooting, Said Madega.
 Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi akimpiga chenga kipa wa Ruvu Shooting, Abdalah Ramadhan na kuipatia timu yake bao la 3 kwa timu yake.
 Dogo huniwezi.................
 Sasa naenda kufunga......
Golikipa wa Ruvu Shooting, Abdalah Ramadhani akiwa ameshika kiuno baada ya Okwi kupachia bao.
Washambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi (kulia), na Hamis Kiiza wakishangilia moja ya magoli waliyoifungia timu yao wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 7-0 (Picha zote na Francis Dande)
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template