Headlines News :
Home » » MMOJA WA WAANZILISHI WA HIPHOP NCHINI AWA MUANDAAJI NA MTAYARISHAJI MZURI WA MUZIKI NJE YA TANZANIA

MMOJA WA WAANZILISHI WA HIPHOP NCHINI AWA MUANDAAJI NA MTAYARISHAJI MZURI WA MUZIKI NJE YA TANZANIA

Written By Bashir Nkoromo on Sunday, May 8, 2016 | 1:19 AMMmoja wa waasisi wa muziki wa kufoka foka nchini, Chief Rhymson kutoka kundi la Kwanza Unit la Nchini Tanzania, ambaye kwa sasa anafahamika kwa jina la Zavara ameendelea kufanya kazi zake za kimuziki katika eneo la uandaaji, uongozaji wa kutengeneza video na hii moja ya kazi ya mikono yake inayozunguka duniani.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template