Mwanamuziki
wa muziki wa kizazi kipya Nasibu Abdul”Diamond Platinum’s” akisisitiza
jambo kwa waandishi wa habari kuhusiana na jinsi
atakavyoshiriki kutoa burudani na kuimba wimbo wa pamoja na mwanamuzi
NE-YO wa nchini Marekani katika tamasha la Jembeka na Vodacom festival
2016,litakalofanyika katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza,Kushoto
ni Mkurugenzi Mtendaji wa Jembe ni Jembe ambao ndiyo waandaji wa tamasha
hilo, Dkt.Sebastian Ndege, Matina Nkurlu Meneja Uhusiano wa Vodacom
Tanzania.
Mwakilishi wa
Mwanamuzi nguli toka nchini Marekani NE-YO,E.Jay Mathews (kushoto)
akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa
kutangazwa kwa wasanii watakaotoa burudani pamoja na mwanamuziki huyo
katika tamasha la Jembeka na Vodacom festival 2016, litakalofanyika
katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, wapili (kushoto) ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Jembe ni Jembe ambao ndiyo waandaji wa tamasha
hilo,Dkt. Sebastian Ndege, Matina Nkurlu Meneja Uhusiano wa Vodacom
Tanzania, George Sozigwa Mkuu wa masuala ya ulinzi na Usalama wa tamasha
hilo.
Meneja
Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(Katikati)akiongea na
waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,(hawapo pichani) wakati wa
kutangaza baadhi ya wanamuziki nchini ambao watatoa burudani pamoja na
Mwanamuziki nguli kutoka Marekani NE-YO, katika Uwanja wa (CCM) Kirumba
jijini Mwanza kwenye tamasha la Jembeka na Vodacom Festival 2016.Wengine
katika picha kushoto ni Mwakilishi wa NE-YO,E.Jay Mathews na Mkurugenzi
Mtendaji wa Jembe ni Jembe ambao ndiyo waandaji wa tamasha
hilo,Dkt.Sebastian Ndege.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !