Headlines News :
Home » » BONDIA IDDI MKWELA ALIVYO MSAMBALATISHA MWINYI MZANGELA TAIFA

BONDIA IDDI MKWELA ALIVYO MSAMBALATISHA MWINYI MZANGELA TAIFA

Written By Bashir Nkoromo on Tuesday, August 23, 2016 | 8:23 AM

Mabondia Mwinyi Mzengela (kushoto) na Iddi Mkwela wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita, kwenye Uwanja wa ndani wa Taifa, jijini Dar es Salaam. Mkwela alishinda kwa point katika mpambano huo wa raundi sita

Bondia Iddi Mkwela (kulia) akipiga ngumi ya mkunjo wa chini 'Upcut' wakati mpinzani wake akimkumbatia. Mkwela alishinda kwa pointi katika mpambano huo wa raundi sita uliofanyika mwishoni mwa wki iliyopita, katika uwanja wa ndani wa Taifa, Dar es Salaam
Kocha wa kimataifa wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' (kulia) akimpatia mahelekezo bondia Iddi Mkwela wakati wa mpambano huo
Refa wa mpambano wa masumbwi nchini Pembe Ndava kati akimnyoosha mkono juu bondia Iddi Mkwela baada ya kumshinda Mwinyi Mzengela kwa point
MABONDIA MWINYI MZENGELA NA IDDI MKWELA WAKIPONGEZANA BAADA YA KUMALIZIKA MPAMBANO

BONDIA IDDI MKWELA AKIWA NA MASHABIKI WAKE AKISINDIKIZWA KWA AJILI YA KUENDA KUPAMBANA NA MWINYI MZENGELA
KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' MBELE KULIA AKIMSINDIKIZA BONDIA IDDI MKWELA ALIEBEBWA JUU JUU
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template