Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiingiza kadi katika moja ya geti linalotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki tayari kuingia katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipita katika moja ya geti linalotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na watendaji wa Wizara yake, wadau wa michezo, wanamichezo na wanahabari mara baada ya kukabidhiwa na kuzindua rasmi mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika Uwanja huo
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akizungumzia mradi wa mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Bw. Jamali Malinzi akitoa salamu za wadau wa mchezo wa mpira wa miguu kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa hafla ya mkabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki kwa Serikali katika Uwanja huo Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Mkurugenzi wa Kampuni ya BCEG Bw. Cheng Long Hai akizungumzia utekelezaji wa mradi wa mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki uliotekelezwa na kampuni yake kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa hafla ya mkabidhiano ya mageti hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Mhandisi Mshauri wa mradi wa mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki Mhandisi Aloyce Mushi akieleza changamoto mbalilmbali kuhusu mradi huo kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa hafla ya mkabidhiano ya mageti hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya BCEG Bw. Cheng Long Hai wakitia saini hati za makabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika hafla iliyofanyika Septemba 11, 2016 katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya BCEG Bw. Cheng Long Hai wakionesha hati za makabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika hafla iliyofanyika Septemba 11, 2016 katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
Home »
» WAZIRI NAPE NNAUYE AKABIDHIWA RASMI MAGETI YANAYOTUMIA MFUMO WA MASHINE ZA TIKETI ZA KIELETRONIKI KATIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !