: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kushoto) akizungumza na Kaimu Balozi wa China nchini Tanzania Bw. GOU Haodong baada ya kuangalia picha mbalimbali za matukio ya kiutamaduni wa China wakati wa uzinduzi wa Maonyesho ya Utamaduni wa China leo Jijini Dar es Salaam
Mkuu wa Kituo cha Utamaduni cha China nchini Bw. GAO Wei akizungumza na washiriki wa maonyesho (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Maonyesho ya Utamaduni wa China leo Jijini Dar es Salaam
Kaimu Balozi wa China nchini Tanzania Bw. GOU Haodong akizungumza na washiriki wa maonyesho wakati wa uzinduzi wa Maonyesho ya Utamaduni wa China leo Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na washiriki wa maonyesho (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Maonyesho ya Utamaduni wa China leo Jijini Dar es Salaam
Msanii kutoka China akionyesha mchezo wa utamaduni wa mazoezi maalumu yanayojenga afya yaitwayo Qigong wakati wa uzinduzi wa Maonyesho ya Utamaduni wa China leo Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (katikati) katika picha ya pamoja na Kaimu Balozi wa China nchini Tanzania Bw. GOU Haodong (wapili kulia) wakati wa uzinduzi wa Maonyesho ya Utamaduni wa China leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Kituo cha Utamaduni cha China nchini Bw. GAO Wei na wapili kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utamaduni kutoka Jiangxi China Bw. Chen Hongmin.
Washiriki
wa Maonyesho ya wiki ya Utamaduni wa China kutoka Chama cha Mchezo wa WUSHU
Tanzania katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa Maonyesho ya Utamaduni wa
China leo Jijini Dar es Salaam. Picha na Genofeva Matemu - WHUSM
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !