Home »
» TAMASHA LA FIESTA LILIVYORINDIMA DAR ES SALAAM
TAMASHA LA FIESTA LILIVYORINDIMA DAR ES SALAAM
 |
MSANII wa muziki wa bongo fleva, Benard Paul ‘Ben
Pol’ (katikati) akiimba katika tamasha hilo.
|
 |
MSANII wa muziki wa bongo fleva, Chege (kushoto)
akilishambulia jukwaa kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika juzi.
|
 |
MSANII wa muziki kutoka nchini Nigeria, Yemi Alade , akiimba sambamba na mashabiki wake katika tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika juzi kwenye viwanja vya Leaders Dar es Salaam.
|
|
 |
NYOTA wa muziki wa bongo fleva nchini, Ali Kiba
akilishambulia jukwaa katika tamasha la Tigo Fiesta |
 |
MSANII wa muziki kutoka nchini Nigeria, Tekno,
akiimba sambamba na mashabiki wake katika tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika
juzi kwenye viwanja vya Leaders Dar es Salaam.
|
 |
UMATI wa mashabiki wa burudani wakifuatilia tamasha
hilo.
|
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !