Headlines News :
Home » » SIMBA YAANZA VIZURI LIGI KUU TANZANIA BARA,YAINYUKA LYON TATU BILA

SIMBA YAANZA VIZURI LIGI KUU TANZANIA BARA,YAINYUKA LYON TATU BILA

Written By Bashir Nkoromo on Saturday, September 15, 2012 | 11:31 AM

 Mshambulisji Emmanuel Okwi wa Simba akimtoka  Sunday Hinju wa African Lyon timu hizo zilipopambana leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, katika moja ya mechi za fungua dimba ya Ligi Kuu ya Vodacom. Simba imeinyuka Lyon 3-0
 Jackob Massawe wa African Lyon (kushoto) akijaribu kumthibiti  Amir Maftah wa Simba wakati akiondoka na mpira wakati wa mechi hiyo.
Mshambuliaji wa Simba, Mrisho Ngassa (16) akipongezwa na wenzake baada ya kupachika kimiani mwa Lyon bao la pili wakati wa mechi hiyo.
 Shabiki wa Simba akishangilia bao la pili
 Baadhi ya wachezaji wa African Lyon waliokuwa benchi wakiwa katika mshangao baada ya timu yao kutundikwa mabao 3-0 na Simba
 Kikosi cha Simba kilichoinyuka Lyon
Kikosi cha African Lyon kilichonyukwa na Simba leo (Picha zote na Bashir Nkoromo)
Share this article :

1 comment:

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template