Headlines News :
Home » » BODI YA FILAMU TANZANIA

BODI YA FILAMU TANZANIA

Written By Bashir Nkoromo on Wednesday, October 31, 2012 | 7:22 AM

Meneja  Mkuu wa kampuni ya usambazaji  filamu Steps  Entertainment  Bw.Jairaj  Almoradan akifafanua jambo wakati wa mkutano na Sekretarieti ya Bodi ya Filamu Tanzania,wakati wa makubalianoya Utekelezaji wa sheria ya Filamu na Michezo ya kuigiza ya mwaka 1976 kati ya wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo na  Makampuni mbalimbali ya Filamu nchini.wa pili kulia ni Afisa uhusiano wa Steps Entertainment Bw. Cloude Ngalaba,wa tatu kushoto ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania Bi.Joyce Fissoo ,wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Sekretarieti ya bodi ya Filamu Tanzania.Bi. Angela Ngowi. Mazungumzo yaliyofanyika kwenye ukumbi wa Bodi ya Filamu jana jijini Dar es salaam.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template