Headlines News :
Home » » MATUMLA KUMVAANA NA MKENYA LEO MJINI MTWARA

MATUMLA KUMVAANA NA MKENYA LEO MJINI MTWARA

Written By Bashir Nkoromo on Saturday, October 27, 2012 | 11:02 PM

Matumla akipimwa uzito na afya jana
DAR ES SALAAM, TANZANIA
Bondia Rashid Matumla na Patrik Aamot wa Kenya wanategemea kupanda ulingoni leo katika ukumbi wa makonde mkoani Mtwara.


Mabondia wote wamepima uzito jana na kuthibishwa kuwa wana afya njema na wote kuwa katika uzani sawa wa kilo 73 kila mmoja, up[imaji huo umefanywa na Katibu Mkuu wa TPBO Iibrahim Kamwe na Dk. Madono

.
Kabla ya pambano hilo kutakuwa na mapambano ya utangulizi kati ya  Bakari Mohamed wa Mmtwara na Abdala Mohamed wa Dar es Salaam, katika pambano la ubingwa kg 57.


Pia kutakuwa na mapambano mengine mengi ya utangulizi kati ya mabondia toka Klab ya ngumi Black Mamba ya Mtwara na Mabondia toka  Dar es salaam kama kina Haruna Mnyalukolo atakayecheza na Ashraf Abdala, Issa Matumla (mtoto wa Rashid Matumla) atakayecheza na Hamis Mtupeni, Hamis Aali Mkupa wa Mmtwara atacheza na ide Mnali katika pambano la raundi nane.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template