Headlines News :
Home » » SHANGWE ZA SIKUKUU YA EID EL-HAJJ NA SKYLIGHT BAND @THAI VILLAGE JIJINI DAR

SHANGWE ZA SIKUKUU YA EID EL-HAJJ NA SKYLIGHT BAND @THAI VILLAGE JIJINI DAR

Written By Bashir Nkoromo on Monday, October 29, 2012 | 1:31 PM


Pichani Juu na Chini ni kundi zima la SKYLIGHT Band likitoa burudani ya kukata na shoka katika kusheherekea Sikukuu ya Eid El Hajj katika kiota cha Thai Village- Masaki jijini Dar es Salaam.

Aneth Kushaba AK 47 sambasamba na Mary Lukas wakishambulia Jukwaa.
Mary Lukas akicheza na Shabiki wa SKYLIGHT Band. Hapo sasa twende kazi mpaka chini hiyo.
Sam wa SKYLIGHT BAND na Mashabiki wake akiwemo Msanii wa Bongo Flava Amini (kulia) wakishow love mbele ya Camera yetu.
Wadau wa ML8 wakishow love.

Mdau Haled na mabeste zake baada ya kitu cha pilau mchana walitimba Thai Village kuburudika na SKYLIGHT BAND.
Yohana na Bishosti wake.
Wema Sepetu na marafiki zake.
Mdau Benjamin na washikaji wakishow love.
Mashabiki wapya na wadau wa SKYLIGHT BAND inayokuja kwa kasi hapa mujini.
Blogger Cathbert Angelo wa KajunaBlog akishow love na Mdau Haki Ngowi.
Warembo nao walikuwepo.
Wadau Haled na Adrian wakishow love.
Dancing Floor ilipendeza na watu waliselebuka vilivyo.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template