Headlines News :
Home » » MAKAMUZI YA MSONDO BAND

MAKAMUZI YA MSONDO BAND

Written By Bashir Nkoromo on Sunday, November 4, 2012 | 11:46 AM

Waimbaji wa Bendi ya Msondo Ngoma wakitoa burudani Katika Ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kutoka kushoto ni Eddo Sanga Sahani Dede na Juma Katundu bendi hiyo kila mwishoni mwa wiki utumbuiza katika ukumbi huo kwa ajili ya kutoa burudani mwishoni mwa wiki picha na www.burudan.blogspot.com

Mpiga gila la Ridhim Wa msondo ngoma Zahoro Bangwe akizikung'uta nyuzi wakati wa onesho la bendi hiyo lililofanyika jumapili katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni picha na www.burudan.blogspot.com
Wasanii wa bendi ya Msondo ngoma wakiwajibika wakati wa onesho lao lililofanyika katika ukumbi wa Max Bar Ilala bungoni kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe na Romani Mng'ande wakipuliza ara za mziki picha nawww.burudan.blogspot.com

Waimbaji wa Bendi ya Msondo Ngoma wakitoa burudani Katika Ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kutoka kushoto ni Eddo Sanga Sahani Dede na Juma Katundu bendi hiyo kila mwishoni mwa wiki utumbuiza katika ukumbi huo kwa ajili ya kutoa burudani mwishoni mwa wiki picha na www.burudan.blogspot.com
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Total Pageviews

Comments

Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo SPORTS - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template