Home »
» FUKWE ZA BAHARI ZINAVYOHAMASISHA MAZOEZI
FUKWE ZA BAHARI ZINAVYOHAMASISHA MAZOEZI
Written By Bashir Nkoromo on Tuesday, February 26, 2013 | 6:22 AM
Ramadhani Omari (15) akifabnya mazoezi ya kucheza sarakasi kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi Pwani ya Lindi hiviu karibuni. Katika maeneo yeneye fukwe watoto na vijana hutumia muda wao kucheza amichezo mbalimbali ya kuimarisha viungo kwenye fukwe hizo. (Picha na Nkoromo Blog)
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !