Simon Msuna wa Yanga akichuana na Malegesi Mwangwa wa Kagera Sugar, timu zao zilipomenyana leo kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kagera ilefungwa bao 1-0. Picha zaidi ni mpambano huo.
Simon Msuna na Muganyizi Martin wa Kagera Sugar
Said Bahanuzi wa Yanga na Benjamin Asukile
Frank Domayo wa Yanga na Daudi Jumanne
Haruna Niyonzima wa Yanga na Ally Abdulkareem
Simon Msuna wa Yanga na Malegesi Mwangwa
Haruna Niyonzima wa Yanga na Muganyizi Martin
Didie Kavumbagu wa Yanga na Juma Nade
Kavumbagu wa Yanga aakiwa amelala baada ya kudaiwa kukwatuliwa kwenye eneo la hatari mwa Kagera Sugar. Hata hivyo penati iliytotolewa licha ya kusababisha ubishi lakini haikuza matunda baada ya mchezaji wa Yanga aliyeipiga kuipaisha.
Refa akibishana na wacxhezaji wa Kagera kwa ajili ya penati hiyo
Penati ambayo haikuzaa matunda
Mashabviki wa Yanga. PICHA ZOTE NA NKOROMO BLOG
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !