Headlines News :
Home » » TAMASHA LA PASAKA ZSSF YAICHAPA NSSF 4-2 KATIKA SOKA

TAMASHA LA PASAKA ZSSF YAICHAPA NSSF 4-2 KATIKA SOKA

Written By Bashir Nkoromo on Tuesday, April 2, 2013 | 12:27 AM Waziri wa Kazi Uwezeshaji wa Wananchi Kiuchumi na Ushirika wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Haruna Ali Suleiman akisalimiana na wachezaji wa ZSSF kabla ya mchezo wao na NSSF.
 Waziri wa Kazi Uwezeshaji wa Wananchi Kiuchumi na Ushirika wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Haruna Ali Suleiman akisalimiana na wachezaji wa NSSF kabla ya mchezo wao na ZSSF.
 Meneja Kiongozi Idara ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa NSSF, Eunice Chiume akisalimiana na wachezaji wa timu ya NSSF.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Chiku Matesa akisalimiana na wachezaji wa NSSF.
Wachezaji wa ZSSF wakisalimiana na wenzao wa NSSF.
 Waziri wa Kazi Uwezeshaji wa Wananchi Kiuchumi na Ushirika wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Haruna Ali Suleiman akizindua mchezo wa soka katika tamasha la Pasaka lililofanyika kwenye uwanja wa Aman mjini Zanzibar na kuzikutanisha timu za Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF). 

Kikosi kamili cha NSSF kikiwa katika picha ya pamoja.
  Mshambuliaji wa timu ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ally Chuo akitafuta mbinu za kumtoka beki wa ZSSF, Hamadi Nyange katika mchezo wa Tamasha la Pasaka uliofanyika kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar.
 Baadhi ya maofisa wa NSSF wakiongozwa na Juma Kintu (kushoto)
  Waziri wa Kazi Uwezeshaji wa Wananchi Kiuchumi na Ushirika wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Haruna Ali Suleiman (kati) akifuatilia mchezo wa soka katika tamasha Pasaka lililofanyika kwenye uwanja wa Amaan mjini Zanzibar. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Chiku Matesa na Mkurugenzi Uendeshaji ZSSF, Abdulwakil Haji Hafidh. 
 Benchi la ufundi la ZSSF.
 Benchi la ufundi la timu ya NSSF.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji wa Wananchi Kiuchumi na Ushirika wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Haruna Ali Suleiman akimkabidhi ngao ya ubingwa wa michuano ya tamasha la Pasaka, nahodha wa timu ya Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF), Mohamed Hamad 'Loto' baada kuifunga timu ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa penati 4-2 katika mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa Aman mjini Zanzibar, mwishoni mwa wiki. 
Mashabiki wa timu ya NSSF wakishangilia.
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template