NGUMI NI MCHEZO KAMA MICHEZO MENGINE
Ajali katika michezo ni sehemu ya mchezo wenyewe ni kuwafanya wengine walio salama katika sakata hilo waendelee kimakini zaidi.
nimeandika
hii kwa kumpinga mwandishi alieandika kuwa ngumi ni mchezo wa hatari na
kuonesha baadhi ya mabondia wakitokwa na damu.
mimi ibrahim kamwe 'bigright' nasema ngumi ni mchezo wa kawaida
kama michezo mengine na ikitokea kama bondia kaumia basi ujue ni bahati
mbaya au ni ajali za kimichezo ambazo mwanamichezo yoyote yaweza mkuta
aidha kwa bahati mbaya au kwa uzembe wake mchezoni.
0 comments:
Speak up your mind
Tell us what you're thinking... !