Headlines News :
Home » » TAMASHA LA SIKU YA MUZIKI DUNIANI LILIVYORINDIMA KIJITONYAMA

TAMASHA LA SIKU YA MUZIKI DUNIANI LILIVYORINDIMA KIJITONYAMA

Written By Bashir Nkoromo on Saturday, June 22, 2013 | 1:55 AM

 Super Maya Baikoko kutoka Tanga wakifanya vitu vyao kwenye tamasha la siku ya muziki duniani lilifonyika jana kwenye viwanja vya posta Kijitonyama Dar es Salaam
 Mratibu wa Utamaduni wa Goethe Institut-Tanzania, Daniel Semheho (kulia) akiteja jambo na kiongozi wa kundi la Super Maya Baikoko Juma Nassoro (kushoto) katikati ni Mzungu Kichaa.
 Godzila
 Ben Paul
 Sarakasi pia zilikuwepo, kutoka makini kids
 Msanii Nyemo
 Barnaba na bendi yake
 Jhiko Man
Kala Jeremiah

Tamasha hilo liliandaliwa na umoja wa ulaya wa taasisi za utamaduni (EUNIC) na kudhaminiwa na Fastjet, Pepsi, Total na balozi za Ujerumani na Ufaransa.

Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template