Headlines News :
Home » » SERENGENTI BREWERIES LTD YAINDUZI WA MAONYESHO YA MAVAZI YA 'NECHA'

SERENGENTI BREWERIES LTD YAINDUZI WA MAONYESHO YA MAVAZI YA 'NECHA'

Written By Bashir Nkoromo on Saturday, August 31, 2013 | 12:44 AM

Picha mbalimbali za maonesho ya mavazi katika uzinduzi wa maonesho ya mavazi ya NECHA yaliyodhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti Ltd (SBL), kupitia kinywaji chake cha BAILEYS yaliyofanyika katika Ukumbi wa Alliance Francaise jijini Dar es Salaam.
Kinywaji cha baileys kikionekana kutawala ukumbini pamoja na vinywaji vingine vinavyotengenezwa na SBL katika hafla hiyo. Mwakilishi wa kampuni ya Serengeti Breweries Ltd (SBL) akizungumza kuwakaribisha wageni waalikwa katika maonesho hayo ya mavazi kabla ya kuanza kwa hafla hiyo. Baadhi ya wageni waalikwa wakiburudika na kinywaji cha Baileys huku wakishuhudia maonesho hayo ya mavazi. Baadhi ya wageni waalikwa wakipiga picha za kumbukumbu katika eneo maalumu la kupigia picha katika hafla ya maonesho ya mavazi iliyodhaminiwa na kinywaji cha Baileys[/caption] [caption id="attachment_37051" align="aligncenter" width="640"] Baadhi ya wageni waalikwa katika uzinduzi huo wakibadilishana mawazo baada ya maonesho huku wakiburudika kwa vinywaji vya wadhamini wa hafla hiyo (SBL)
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Google+ Followers

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo Blog: SPORTS PAGE - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template