Headlines News :
Home » » ALIYEKUWA MWENYEKITI WA KAMATI YA VIBALI VYA FILAMU sIHABA NKINGA ATUZWA KWA KUWA KATIBU MKUU WA WIZARA

ALIYEKUWA MWENYEKITI WA KAMATI YA VIBALI VYA FILAMU sIHABA NKINGA ATUZWA KWA KUWA KATIBU MKUU WA WIZARA

Written By Bashir Nkoromo on Monday, February 24, 2014 | 11:50 AM

Mjumbe wa Kamati ya vibali vya Filamu Bw. Andrew Makungu akimkabidhi aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo sasa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga zawadi kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo. Nyuma Mwenye Tai ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel na kushoto kwake ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fisoo.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga akionesha zawadi aliyokabidhiwa na wajumbe wa kamati hiyo. Kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi. Joyce Fisoo.
(Picha na Assah Mwambene-MIH)
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo SPORTS - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template