Headlines News :
Home » » SONGAS FOOTBALL CLUB WAENDESHA BONANZA LA KUHAMASISHA MICHEZO, USAFI NA AFYA BORA VIWANJA VYA MAKUBURI JIJINI DAR

SONGAS FOOTBALL CLUB WAENDESHA BONANZA LA KUHAMASISHA MICHEZO, USAFI NA AFYA BORA VIWANJA VYA MAKUBURI JIJINI DAR

Written By Bashir Nkoromo on Monday, September 5, 2016 | 8:22 PM

Mechi mbalimbali zikiwa zinaendelea katika Bonanza hilo ambalo lilikuwa na lengo la kuhamasisha Michezo, usafi na Afya Bora
Baadhi ya watu wadogo kwa wakubwa wakiendelea kufuatilia Bonanza hilo kwa makini
MC Fadhili Nandonde akiendelea kutoa utaratibu wa Mechi mbalimbali zilizokuwa zikicheza katika Bonanza hilo
Mgeni Rasmi katika Bonanza hilo Albert Kimaro ambaye ni Mkufunzi Mwandamizi Idara ya Michezo Chuo Kikuu cha Dar es salaam akikagua moja ya Timu hizo katika Bonanza hilo
Mgeni Rasmi katika Bonanza hilo Albert Kimaro ambaye ni Mkufunzi Mwandamizi Idara ya Michezo Chuo Kikuu cha Dar es salaam akizungumza na watu waliofika katika bonanza hilo na kuwapongeza waandaaji kwa kuona umuhimu wa Mazoezi, usafi na Afya Bora pia amewasihi watu wawe na utaratiu wa kufanya Mazoezi
Mwakilishi Kutoka Benki ya NMB ambao walikuwa ni moja ya wadhamini wa Bonanza hilo Frank Rwamugira akiwasihi watu kuwa na utaratibu wa kujiwekea akiba
Watu mbalimbali wakiendelea kufuatilia Michezo hiyo , hata Boda boda nao walikuwa bize na Bonanza hilo
Mbuzi huyu ndio ilikuwa zawadi ya Mshindi  katika Bonanza hilo lililoandaliwa na Songas Football Club
Rais wa Songas Football Club Ismail  Sheha ambao ndio walioandaa Bonanza hilo  akitoa neno la shukurani kwa wote ambao walihudhulia katika Bonanza na kusisitiza kuwa huo haukuwa mwisho wataendelea zaidi kuhamasisha Michezo, usafi na Afya Bora.
Watu mbalimbali wakiwa katika Banda la NMB kwa ajili ya kufungua akaunti ya Chapchap ambapo Mteja anaipata papo hapo na kupata maelezo ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Benki hiyo.
Moja ya timu ikiwa imefungwa goli la kizembe huku goli kipa asijue cha kufanya na wachezaji wengine kukimbia kwa ajili ya kujipanga zaidi
Mpira ukiendelea huku watu mbalimbali wakifuatilia Burudani hiyo kwa makini Picha na Fredy Njeje/Blogs za Mikoa
Share this article :

0 comments:

Speak up your mind

Tell us what you're thinking... !

Total Pageviews

Comments

 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Proudly powered by Blogger
Copyright © 2011. theNkoromo SPORTS - All Rights Reserved
Template Design by Creating Website Published by Mas Template